MAJALIWA: MATUMIZI YA KISWAHILI YAPEWE KIPAUMBELE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema matumizi fasaha ya lugha ya kiswahili yapewe kipaumbele katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo ya utoaji wa huduma za jamii, mikutano, mahakamani, warsha na makongamano yatakayofanyika ndani na nje ya nchi. “Matumizi ya lugha ya kiswahili yaimarishwe katika kutoa huduma za kimahakama na uandishi wa nyaraka za kisheria pamoja na kutafsiri